Mnachelewa kuinuka kwa sababu mnacheza nafasi ya mme kwa michepuko yenu

Mnachelewa kuinuka kwa sababu mnacheza nafasi ya mme kwa michepuko yenu

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Ulee mke
Ulee familia
Utunze akiba
Watoto wasome medium
Etc

Bado tena mchepuko unaubeba kama mayai. Yani unaweza kuta kiatu ulichomnunulia malaya ni mara tatu ya bei ulichomnunulia mama yako mara ya mwisho na anakishona kila siku.

Alafu mkija JF mnatafuta mganga mnahisi mmerogwa maana pesa hazikai mkononi 😂😂
 
Mkuu hata huyo mama naye ana mume wake, pengine hata mchepuko anao, acha watu waenjoy🤣🤣🤣
 
Ulee mke
Ulee familia
Utunze akiba
Watoto wasome medium
Etc

Bado tena mchepuko unaubeba kama mayai. Yani unaweza kuta kiatu ulichomnunulia malaya ni mara tatu ya bei ulichomnunulia mama yako mara ya mwisho na anakishona kila siku.

Alafu mkija JF mnatafuta mganga mnahisi mmerogwa maana pesa hazikai mkononi 😂😂
Nalea mke , nalea familia , watoto wanasoma na wanakula na wanalala na wana makazi hivi vyote nawafanyia watu 🤣🤣
Kinachobaki na mimi nitafute furaha yangu sasa tunadiffer mwingine nguo , viatu , pombe au wengine wanataka wabadili radha akojoe pazuri 🤣

We mradi mambo yanakaa vizuri ninayoweza kuyafanya yanafanyika vingine na wewe ongeza si sisi ni mwili mmoja
 
Back
Top Bottom