Mnachokifanya NACTE ni wizi

Mnachokifanya NACTE ni wizi

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Kwa jinsi Hali ya kiuchumi ilivyo ngumu, imagine mtu analipia maombi ya vyuo kupitia Nacte pesa ikishachukuliwa ndiyo kizungumkuti kinapoanza.

Kulog in issue, ukiwapogia wanajibu watakavyo hebu tunaomba waheshimu pesa za watu.

Hii no moja Kati ya taasisi za hovyo kabisa,HAINA SIFA YA KUWA CHOMBO CHA KUDHIBITI UBORA

NI HAYO ASANTENI KWA KUNIPIGA.
 
Kwa jinsi Hali ya kiuchumi ilivyo ngumu, imagine mtu analipia maombi ya vyuo kupitia Nacte pesa ikishachukuliwa ndo kizungumkuti kinapoanza...
Rais samia mtumbue mkuu wa Nacte (sasa inaitwaje vile?NACTEVIT???) please
 
Aisee pole sana, hapo ulipo mtandao upo vizuri?

Nimekuwa nikifanya application karibu kila mwaka na sijawahi kukutana na hiyo changamoto.

Pole sana mtoa mada.
 
Nisaidie, eti NACTE wana utaratibu huu
Mfano:
Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? Utaratibu huu upo?
 
Hakuna utaratibu huo wa kuhamisha mtu aliyefeli.

Utaratibu ni kuomba upya kwa kutumia matokeo yako ya mwaka wa kwanza.
Hapo ni lazima matokeo yako ya mwaka wa pili uliyofeli yawe yamefutwa kwenye mfumo.

Bahati mbaya dirisha lilishafungwa hivyo hadi mwakani.
Au kuna vyuo wanatoaga pesa kwa ma IT wa Nactvet wanafunguliwa kwa siri hata usiku saa 6 majina yanaingizwa faster.
 
Utaratibu ni kuomba upya kwa kutumia matokeo yako ya mwaka wa kwanza.
Umenipata vema kabisa. Unaomba kuhamisha matokeo yako ya mwaka wa kwanza, una apply say chuo kingine kuingia mwaka wa pili na hivyo matokeo ya mwaka wa kwanza yanahamishiwa ulikokwenda. Is that correct? tafadhali, nisaidie.
 
Bahati mbaya dirisha lilishafungwa hivyo hadi mwaka
asante kwa ufafanuzi. Ni hao wajukuu.... siyo mimi ni watoto wa ndugu ndugu si unajua waafrika na extended families!
Nilimaliza UDSM 1982....siwezi kuwa darasani kwa diploma 😀 😀 😀 😀 😀
 
Nisaidie, eti NACTE wana utaratibu huu
Mfano:
Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? Utaratibu huu upo?
Muweke VETA
 
Shikamoo baba Retired . Ufafanuzi aliotoa mkuu Cashman hapo kwenye post namba 6 upo sahihi kabisa.
 
***** hawa mbwa wanakera kinyama alafu nao wanakula kwa kodi za wananchi kwamba wapo kazini yani asee mi washanifika kooni kabsa kwanza no zao tu waloweka kwenye website yao ni hazpatikani 24 hrs ukiwafata kwenye email ndo hawana muda kabsa cjui wanawekaga mawasiliano yann nchi ya hovyo sana hii[emoji45]
 
Mimi Nina mwanangu kapata division one ya 14 combination ya science form four Ila aliomba chuo .wamempangia kusoma nursing na yeye hataki chuo cha same yeye anataka clinical medicine na hicho chuo alichopangiwa hakina clinical medicine.aliomba kcmc akapata pharmacy Ila sasa Ada yake ikawa changamoto sasa na uliza je mtoto anaweza aihirisha ili ombe tena mwakani na nacte wakakubali? ili niweze jipanga na Ada mwakani nimpeleke .Kwa kuwa na prefer aweze kusoma vyuo vya serekali au nimrudishe mwakani five na six kwani bado anamiaka 17 na ni binti naomba ushauri wenu
 
hana kizuizi chochote as long as ana qualifications
 
Back
Top Bottom