hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Rais samia mtumbue mkuu wa Nacte (sasa inaitwaje vile?NACTEVIT???) pleaseKwa jinsi Hali ya kiuchumi ilivyo ngumu, imagine mtu analipia maombi ya vyuo kupitia Nacte pesa ikishachukuliwa ndo kizungumkuti kinapoanza...
Nisaidie, eti NACTE wana utaratibu huuAisee pole sana, hapo ulipo mtandao upo vizuri?
Nimekuwa nikifanya application karibu kila mwaka na sijawahi kukutana na hiyo changamoto.
Pole sana mtoa mada.
Hakuna utaratibu huo wa kuhamisha mtu aliyefeli.Nisaidie, eti NACTE wana utaratibu huu
Mfano:
Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? Utaratibu huu upo?
Umenipata vema kabisa. Unaomba kuhamisha matokeo yako ya mwaka wa kwanza, una apply say chuo kingine kuingia mwaka wa pili na hivyo matokeo ya mwaka wa kwanza yanahamishiwa ulikokwenda. Is that correct? tafadhali, nisaidie.Utaratibu ni kuomba upya kwa kutumia matokeo yako ya mwaka wa kwanza.
asante kwa ufafanuzi. Ni hao wajukuu.... siyo mimi ni watoto wa ndugu ndugu si unajua waafrika na extended families!Bahati mbaya dirisha lilishafungwa hivyo hadi mwaka
Muweke VETANisaidie, eti NACTE wana utaratibu huu
Mfano:
Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? Utaratibu huu upo?
Shikamoo baba Retired . Ufafanuzi aliotoa mkuu Cashman hapo kwenye post namba 6 upo sahihi kabisa.Nisaidie, eti NACTE wana utaratibu huu
Mfano:
Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? Utaratibu huu upo?
Sasa huu ni utaratibu official au ni janja janja?Hapo ni lazima matokeo yako ya mwaka wa pili uliyofeli yawe yamefutwa kwenye mfumo.
Marahaba!!!
hana kizuizi chochote as long as ana qualificationsMimi Nina mwanangu kapata division one ya 14 combination ya science form four Ila aliomba chuo .wamempangia kusoma nursing na yeye hataki chuo cha same yeye anataka clinical medicine na hicho chuo alichopangiwa hakina clinical medicine.aliomba kcmc akapata pharmacy Ila sasa Ada yake ikawa changamoto sasa na uliza je mtoto anaweza aihirisha ili ombe tena mwakani na nacte wakakubali? ili niweze jipanga na Ada mwakani nimpeleke .Kwa kuwa na prefer aweze kusoma vyuo vya serekali au nimrudishe mwakani five na six kwani bado anamiaka 17 na ni binti naomba ushauri wenu