kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Wakubwa wanakuambia sio kila siku ni Jumapili. Na ukitaka kujua tabia ya mke wako wewe kaa kimia tu. Najua mnamini kwa mkapa hatoki mtu ila imani yetu isuvuke mipaka.
Vile mnavyo kwenda kuandika kwenye page za wale Raja Cassablaca mnawapa ile motivation ya wao pia kujipanga kisawa sawa kama wangelicheza kwenye asilimia 50% wanapanda mpaka kwenye asilimia 100% na mwisho mnakwenda droo au mna fungwa lawama zote kwa John Bocco.
Anyway mimi sio nabii wa Mungu lakini huu ni ukweli mechi hii sioni kufunga kwa simba itakuwa droo ya bila bila.