Mnachokifanya Simba kitawaponza kwenye mechi yenu na Raja

Mnachokifanya Simba kitawaponza kwenye mechi yenu na Raja

Simba haiwezi kumfunga Raja iwe kwa Mkapa au Mo arena, popote pira litakapopigwa mkono unawahusu.
 
Kwani draw huwa inakatazwa?Si zingine kwenye footbalu zichukuliwe kama slogan tu.
 
Simba atakula bao mbili swafi niko apa apa mimi if.
 
Ndio maana Tz watu wengi wanaonekana kama HAMNAZO"kila sehemu ni siasa tu eti kwa mkapa hatoki mtu,kama timu yako mbovu bado unasimamia hiyo kauli?ni kupeana matumaini ya kijinga tu.kwani wakiacha kuandika kwwnye hiyo page yao ndio kitawasaidia nini?au wanapoandika ?Baada ya mechi mtarudi tena hapa ohooo wale wengi wamekulia ulaya!!kwenye mpira hakuna janja janja
Nyinyi ni akina nani hadi mtupe ushauri!, Casablanca jmosi wanapasuliwa kama kawaida hatuna undugu nao.
 
Wakubwa wanakuambia sio kila siku ni Jumapili. Na ukitaka kujua tabia ya mke wako wewe kaa kimia tu. Najua mnamini kwa mkapa hatoki mtu ila imani yetu isuvuke mipaka.

Vile mnavyo kwenda kuandika kwenye page za wale Raja Cassablaca mnawapa ile motivation ya wao pia kujipanga kisawa sawa kama wangelicheza kwenye asilimia 50% wanapanda mpaka kwenye asilimia 100% na mwisho mnakwenda droo au mna fungwa lawama zote kwa John Bocco.

Anyway mimi sio nabii wa Mungu lakini huu ni ukweli mechi hii sioni kufunga kwa simba itakuwa droo ya bila bila.
Acha ujinga jmosi uje kwamkapa uone Casablanca tunavyowapasua
 
Wakubwa wanakuambia sio kila siku ni Jumapili. Na ukitaka kujua tabia ya mke wako wewe kaa kimia tu. Najua mnamini kwa mkapa hatoki mtu ila imani yetu isuvuke mipaka.

Vile mnavyo kwenda kuandika kwenye page za wale Raja Cassablaca mnawapa ile motivation ya wao pia kujipanga kisawa sawa kama wangelicheza kwenye asilimia 50% wanapanda mpaka kwenye asilimia 100% na mwisho mnakwenda droo au mna fungwa lawama zote kwa John Bocco.

Anyway mimi sio nabii wa Mungu lakini huu ni ukweli mechi hii sioni kufunga kwa simba itakuwa droo ya bila bila.
Kwani simba ameandika hivyo??? Au mashabiki?
 
Nyinyi ni akina nani hadi mtupe ushauri!, Casablanca jmosi wanapasuliwa kama kawaida hatuna undugu nao.
Hayo ni maneno ya kishabiki tu ambayo ndio huwa mnapenda kuyasikia toka kwa viongozi wenu!!kwa timu uliyonayo sasa huwezi ukasema hivyo kwa timu kama raja c.Hizo kauli mbiu za siasa haziwi applicable kwenye mpira!!huku ni uwezo wa timu na jinsi ulivyojiandaa,bila hivyo vitu hata game lichezewe chumbani kwako utachezea kipigo tu!!TZ tafuteni tu michezo mingine mpira wa miguu hauwapendi kwani lazima muulazimishe uwapende?!!eti ligi ya 8 Afrika hahaaa!?SIFA ZA KIJINGA
 
Rais hata angetoa 100m kwa bao moja, Simba, kwa forward yao hii mchele mchele hakuna mwenye uwezo wa kuifunga Raja hata bao la kuotea.
Kuwa na akiba ya maneno...hyo Simba unayosema ndo inaongoza kwa mabao ligi kuu...hao raja ni nani mpk wasifungwe
 
Back
Top Bottom