Kweli ujinga bado adui mkubwa sana kwa Taifa.Wakubwa wanakuambia sio kila siku ni Jumapili. Na ukitaka kujua tabia ya mke wako wewe kaa kimia tu...
Mzee kwa mawazo yake yote anajua mpira unachezwa kwenye page za timu husiku🤣🤣🤣Kweli ujinga bado adui mkubwa sana kwa Taifa.
Kaandika kama vile ndio katoka kwenye dawa za usingizi.Mzee kwa mawazo yake yote anajua mpira unachezwa kwenye page za timu husiku🤣🤣🤣
Ndio maana Tz watu wengi wanaonekana kama HAMNAZO"kila sehemu ni siasa tu eti kwa mkapa hatoki mtu,kama timu yako mbovu bado unasimamia hiyo kauli?ni kupeana matumaini ya kijinga tu.kwani wakiacha kuandika kwwnye hiyo page yao ndio kitawasaidia nini?au wanapoandika ?Baada ya mechi mtarudi tena hapa ohooo wale wengi wamekulia ulaya!!kwenye mpira hakuna janja janjaWakubwa wanakuambia sio kila siku ni Jumapili. Na ukitaka kujua tabia ya mke wako wewe kaa kimia tu. Najua mnamini kwa mkapa hatoki mtu ila imani yetu isuvuke mipaka.
Vile mnavyo kwenda kuandika kwenye page za wale Raja Cassablaca mnawapa ile motivation ya wao pia kujipanga kisawa sawa kama wangelicheza kwenye asilimia 50% wanapanda mpaka kwenye asilimia 100% na mwisho mnakwenda droo au mna fungwa lawama zote kwa John Bocco.
Anyway mimi sio nabii wa Mungu lakini huu ni ukweli mechi hii sioni kufunga kwa simba itakuwa droo ya bila bila.
Sijaona timu ya kuifunga Raja Casablanca hapa TanzaniaNa sisi tunataka tuwafunge hao Raja wakiwa wamejiandaa 100%.
Hatutaki tuwafunge eti kwakuwa walidharau mechi au hawakuchukua tahadhari.
Tunawataka Raja wachukue tahadhari zote wanazozijua iwe nje au ndani ya uwanja ili tuwaonyeshe maana ya kwa "Mkapa hatoki mtu"
Bayern mbali sana hapo tu Botswana kwa GalaxyUsjali atakufa tu hakuna timu inashinda kwa mkapa hata aje bayern atakufa tu
na kama timu ni mbovu, ya nini basi kuhangaika na wanaosimama nayo hiyo kauli?Ndio maana Tz watu wengi wanaonekana kama HAMNAZO"kila sehemu ni siasa tu eti kwa mkapa hatoki mtu,kama timu yako mbovu bado unasimamia hiyo kauli?