Ushabiki wa kijinga huuUtopolo bana..eti daima mbele nyuma mwiko..na mnajua waarabu wa monastril wanachokipenda afu eti mnawaambia nyuma mwiko...
Nyinyi ni akina nani hadi mtupe ushauri!, Casablanca jmosi wanapasuliwa kama kawaida hatuna undugu nao.Ndio maana Tz watu wengi wanaonekana kama HAMNAZO"kila sehemu ni siasa tu eti kwa mkapa hatoki mtu,kama timu yako mbovu bado unasimamia hiyo kauli?ni kupeana matumaini ya kijinga tu.kwani wakiacha kuandika kwwnye hiyo page yao ndio kitawasaidia nini?au wanapoandika ?Baada ya mechi mtarudi tena hapa ohooo wale wengi wamekulia ulaya!!kwenye mpira hakuna janja janja
Acha ujinga jmosi uje kwamkapa uone Casablanca tunavyowapasuaWakubwa wanakuambia sio kila siku ni Jumapili. Na ukitaka kujua tabia ya mke wako wewe kaa kimia tu. Najua mnamini kwa mkapa hatoki mtu ila imani yetu isuvuke mipaka.
Vile mnavyo kwenda kuandika kwenye page za wale Raja Cassablaca mnawapa ile motivation ya wao pia kujipanga kisawa sawa kama wangelicheza kwenye asilimia 50% wanapanda mpaka kwenye asilimia 100% na mwisho mnakwenda droo au mna fungwa lawama zote kwa John Bocco.
Anyway mimi sio nabii wa Mungu lakini huu ni ukweli mechi hii sioni kufunga kwa simba itakuwa droo ya bila bila.
Mpana wewe, katika yote umeona kimia tu[emoji38][emoji38][emoji38]Endelea kukakaa wewe "kimia"
Sijawahi ona umetiririka ktk uzi wowote, majibu yako ni mfupi tu [emoji3][emoji3][emoji3]Yagangwe yajayo...
Hahahha hahahahahaMpana wewe, katika yote umeona kimia tu[emoji38][emoji38][emoji38]
Hataki mbambamba kama sieSijawahi ona umetiririka ktk uzi wowote, majibu yako ni mfupi tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani simba ameandika hivyo??? Au mashabiki?Wakubwa wanakuambia sio kila siku ni Jumapili. Na ukitaka kujua tabia ya mke wako wewe kaa kimia tu. Najua mnamini kwa mkapa hatoki mtu ila imani yetu isuvuke mipaka.
Vile mnavyo kwenda kuandika kwenye page za wale Raja Cassablaca mnawapa ile motivation ya wao pia kujipanga kisawa sawa kama wangelicheza kwenye asilimia 50% wanapanda mpaka kwenye asilimia 100% na mwisho mnakwenda droo au mna fungwa lawama zote kwa John Bocco.
Anyway mimi sio nabii wa Mungu lakini huu ni ukweli mechi hii sioni kufunga kwa simba itakuwa droo ya bila bila.
Mafanikio mema jumamosiHataki mbambamba kama sie
Thanx na ww pia mkuu jpili iwe ya heriMafanikio mema jumamosi
[emoji120][emoji120][emoji106][emoji3531]Thanx na ww pia mkuu jpili iwe ya heri
Raja anacheza na Simba Jumamosi na Simba Sc ya Tanzania ndio timu itamfunga Raja hapa Taifa tena kirahisi sana kuliko unavyodhaniSijaona timu ya kuifunga Raja Casablanca hapa Tanzania
Hayo ni maneno ya kishabiki tu ambayo ndio huwa mnapenda kuyasikia toka kwa viongozi wenu!!kwa timu uliyonayo sasa huwezi ukasema hivyo kwa timu kama raja c.Hizo kauli mbiu za siasa haziwi applicable kwenye mpira!!huku ni uwezo wa timu na jinsi ulivyojiandaa,bila hivyo vitu hata game lichezewe chumbani kwako utachezea kipigo tu!!TZ tafuteni tu michezo mingine mpira wa miguu hauwapendi kwani lazima muulazimishe uwapende?!!eti ligi ya 8 Afrika hahaaa!?SIFA ZA KIJINGANyinyi ni akina nani hadi mtupe ushauri!, Casablanca jmosi wanapasuliwa kama kawaida hatuna undugu nao.
Kuwa na akiba ya maneno...hyo Simba unayosema ndo inaongoza kwa mabao ligi kuu...hao raja ni nani mpk wasifungweRais hata angetoa 100m kwa bao moja, Simba, kwa forward yao hii mchele mchele hakuna mwenye uwezo wa kuifunga Raja hata bao la kuotea.