Mnada poa wa Vodacom

Maisha ni magumu watu wakafikiria waje vipi ndo wamekuja na mnada,mnada unaofanyika kwenye background we tangu umekuwa ushaona mnada unafanyika bila wewe kushiriki physically so that what we call betting ila imkuja kwa mlango wa nyuma
kwenye ebay mbona minada huwa inafanywa..sio lazima physically..

Huu wa voda sio mnada waache usanii,ni bahati nasibu
 
Ila ukifuatilia mdana wa eBay unakufany ujione pale physically japo indirect ila voda wao hawako clear kabisa yani km tatu mzuka tu
 
Kujionea kwenye simu ndo physically??..Nimekuambia kuwa huu wa voda sio mnada..Ni bahati nasibu,na nimeisikia kwenye tangazo asubuhi kuwa ukiweka dau lako kama ni la kipekee unaambia na kama sio pia unaambia..ni bahati nasibu hii.
 
Soma vizuri mkuu nimekwambia indirectly yaani kinachofanyika ni reasonable as if uko hapo ila voda km tulivyokubaliana wote wao wanakamari tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kwani mnada ukiisha kama hujashinda iyo jero yako uliyoweka kama dau lako inarudishwa kwn account kama hairudi basi iyo nikamali tu kama kamali nyingine..
Kwaiyo apo mkiweka vijero jero watu elf 10 ni milion 5 thn wanatoa iyo cjui microwave ya laki 5 kwa Mtu mmoja wakabaki na 4,500,000/= duh
"MJNI SHULE"
 
True story...hii ni betting wanaiba
 
Maisha ni magumu watu wakafikiria waje vipi ndo wamekuja na mnada,mnada unaofanyika kwenye background we tangu umekuwa ushaona mnada unafanyika bila wewe kushiriki physically so that what we call betting ila imkuja kwa mlango wa nyuma
Kweli
 
Kujionea kwenye simu ndo physically??..Nimekuambia kuwa huu wa voda sio mnada..Ni bahati nasibu,na nimeisikia kwenye tangazo asubuhi kuwa ukiweka dau lako kama ni la kipekee unaambia na kama sio pia unaambia..ni bahati nasibu hii.
Na mbaya zaidi dau lako hawakurudishii...we utaona jero ndogo ila wakizikusanya kwa watu kama laki 2 wana hela ya maana
 
Hii tunaita kamari iliyochangamka ila tu watu hawasanuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…