Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Kutakuwa na mnada pale UNICEF vitu mbalimbali kama magari,vifaa vya computers na vya maofisini.
List of vitu imeambatanishwa.
List of vitu imeambatanishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
everything is broken,but hii minada bora wagawe kwa wanaohitaji wapeleke kwa watoto yatima,kwanini nasema hivi?Minada hii wanakuja matajiri wafanyabiashara wenye hela zao wanabuy at very high price kwa vitu used tena broken,yani mitanzania ni mipumbavu sana.huwa sihudhuriagi tena minada ya watu wa nje9balozini,UN's etc).watoe charity as they are not profit making organisations,full stop
RealTz77
everything is broken,
RealTz77
but hii minada bora wagawe kwa wanaohitaji wapeleke kwa watoto yatima,kwanini nasema hivi?Minada hii wanakuja matajiri wafanyabiashara wenye hela zao wanabuy at very high price kwa vitu used tena broken,yani mitanzania ni mipumbavu sana.
huwa sihudhuriagi tena minada ya watu wa nje9balozini,UN's etc).
RealTz77
watoe charity as they are not profit making organisations,full stop