Ahsante, ila mnada utahusisha vitu gani na vipi kuhusu gatepass ya getin?MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)
TANGAZO:MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) INAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA, KUTAKUWA NA MNADA WA HADHARA KATIKA BANDARI YA MTWARA, UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 27 OKTOBA, MWAKA 2018 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI MPAKA SAA NANE MCHANA.
WOTE MNAKARIBISHWA!
Yale makonteina ya mkuu wenu wameyahamishia kule labda yatapata mnunuziJe mtauza machungwa, Mapeazi, Viazi mbatata, Viroba, Biriani, Magari, au vitu gani?
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Yale makonteina ya mkuu wenu wameyahamishia kule labda yatapata mnunuzi
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)
TANGAZO:MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) INAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA, KUTAKUWA NA MNADA WA HADHARA KATIKA BANDARI YA MTWARA, UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 27 OKTOBA, MWAKA 2018 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI MPAKA SAA NANE MCHANA.
WOTE MNAKARIBISHWA!
Kama kweli wewe umetumwa na TPA kuleta tangazo basi ni aibu ya mwaka kwa taasis iliyokutuma. Unapowatangazia watu mnada lazima uwatangazie aina ya vitu utakavyouza ili wajue wanakuja kununua nini kwenye mnada wako.MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)