Mnada wa hadhara bandari ya Mtwara

Mnada wa hadhara bandari ya Mtwara

TPA

Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
49
Reaction score
71
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

TANGAZO:​
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) INAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA, KUTAKUWA NA MNADA WA HADHARA KATIKA BANDARI YA MTWARA, UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 27 OKTOBA, MWAKA 2018 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI MPAKA SAA NANE MCHANA.
WOTE MNAKARIBISHWA!
 
Ahsante, ila mnada utahusisha vitu gani na vipi kuhusu gatepass ya getin?
 
Je mtauza machungwa, Mapeazi, Viazi mbatata, Viroba, Biriani, Magari, au vitu gani?
 
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

TANGAZO:​
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) INAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA, KUTAKUWA NA MNADA WA HADHARA KATIKA BANDARI YA MTWARA, UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 27 OKTOBA, MWAKA 2018 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI MPAKA SAA NANE MCHANA.
WOTE MNAKARIBISHWA!

Nyie ni taasisi kubwa kwahiyo mna uwezo wa kuweka catalogue la vitu vyote vinavyouzwa labda pamoja na picha. Twendeni na wakati.
 
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

TANGAZO:​
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) INAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA, KUTAKUWA NA MNADA WA HADHARA KATIKA BANDARI YA MTWARA, UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 27 OKTOBA, MWAKA 2018 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI MPAKA SAA NANE MCHANA.
WOTE MNAKARIBISHWA!
Kama kweli wewe umetumwa na TPA kuleta tangazo basi ni aibu ya mwaka kwa taasis iliyokutuma. Unapowatangazia watu mnada lazima uwatangazie aina ya vitu utakavyouza ili wajue wanakuja kununua nini kwenye mnada wako.
 
ukiona wanandika hawaweki bidhaa jua washauziana wenyewe hivo hii ni funika kombe mwanaharamu apite.
 
Back
Top Bottom