Mnada wa kimya wa vitu vipya na vilivyotumika katika Shule ya St Jude

Mnada wa kimya wa vitu vipya na vilivyotumika katika Shule ya St Jude

TSOSJ

Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
24
Reaction score
9
Shule ya St Jude itakuwa na mnada wa kimya kwa ajili ya kuuza vitu zaidi ya 6,000, vipya na vilivyotumika! Hii si ya kukosa.

Tarehe: Ijumaa Septemba 17

Muda wa kuangalia: Saa 4 hadi 4:30 asubuhi

Muda wa mnada: Saa 4:30 hadi 5:30 asubuhi

Mahali:
Shule ya St Jude, Kampasi ya Sisia, Moshono, Arusha (Tafadhali egesha gari lako barabarani karibu na kibao kikubwa cha njano cha St Jude’s kwani hakuna maegesho karibu na shule.

Karibu sana!

Taarifa zaidi kuhusu bidhaa za mnada huu zipo kwenye nakala iliyo ambatanishwa:
 

Attachments

Wanatujaribu, nimeona meza nzuri hapo...wale wa Dar tunakula kwa macho
 
Hii shule ilikuwa ikitoa elimu kwa mtaala wa kimataifa bure kwa watoto maskini wa kitanzania lakini kwa uroho wa watawala wakaamua kuwafanyia figisu mpaka wamefikia hatua hii, Serikali imeona kuliko watoto wa maskini wafaidi elimu imeona bora warudi majumbani na shule ifungwe.
 
Mnafunga SHULE au ni Utaratibu wa kawaida?
 
Ni utaratibu wa kawaida ambao hata taasidi zingine wana fanya, serikali pia wana fanya, UN wana fanya.... Hivyo sio jambo geni
 
Back
Top Bottom