mtuwaShiratiObwere
Member
- Oct 22, 2024
- 23
- 18
Wadau naomba msaada titanium anayefahamu mnada wa mifugo morogoro kesho Jumatano, Alhamisi na Ijumaa unakuwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuuSiku za minada ya mifugo ni
1. Jumamosi - mikongeni
2. Jumapili - nanenane
3. Jumatatu - mpakani mwa Turiani na Tanga (jina limenitoka)
Asante sana mkuuSiku za minada ya mifugo ni
1. Jumamosi - mikongeni
2. Jumapili - nanenane
3. Jumatatu - mpakani mwa Turiani na Tanga (jina limenitoka)
mikongeniKuna mnada dumila huko unakuwa jumamosi
Huwa naona Kuna Mbuzi, ng'ombe, kondoo, kuku. Sijawahi kuona kitimotoVipi nguruwe nao wamo au
Hotchair labda MgetaVipi nguruwe nao wamo au
WadauWadau naomba msaada titanium anayefahamu mnada wa mifugo morogoro kesho Jumatano, Alhamisi na Ijumaa unakuwa wapi?
Wadau nilikuwa mnadani Leo biashara nzuri mno hiiAsante sana mkuu
Asante sana mkuu
Napenda natangulize shukrani kwako wewe na kwao wadau walionielekeza jana nimeenda mnadani naSiku za minada ya mifugo ni
1. Jumamosi - mikongeni
2. Jumapili - nanenane
3. Jumatatu - mpakani mwa Turiani na Tanga (jina limenitoka)
Siku za minada ya mifugo ni
1. Jumamosi - mikongeni
2. Jumapili - nanenane
3. Jumatatu - mpakani mwa Turiani na Tanga (jina limenitoka)
@evarm na yeyote mbuzi nawapata huko vijijini wapiSiku za minada ya mifugo ni
1. Jumamosi - mikongeni
2. Jumapili - nanenane
3. Jumatatu - mpakani mwa Turiani na Tanga (jina limenitoka)
Mzuri kivipi brother?Wadau nilikuwa mnadani Leo biashara nzuri mno hii
Mkuu vipi hii biashara inalipa sana?Yaani uwanja umechangamka watu wanauza na kununua
Mkuu Mnada wa mbuzi kwa mkata ni siku gani? nataka kwenda huko wiki ijayo, naomba ushauri. Pia kama ukinipa bei elekezi kwa mbuzi ni TZS ngapi kwa sasa kwa Mkata nitashukuru sana sana,.Ukitaka mbuzi nenda mkata utapata wengine sana!
Au wahi mnadani Kwalugulu& mziha siku ya Leo ni mnada