Mnada wa mifugo Morogoro upo wapi Jumatano au Alhamisi?

Mnada wa mifugo Morogoro upo wapi Jumatano au Alhamisi?

WADAU NA WANAFAMILIA, HAKUNA YOYOTE MWNYE UFAHAMU WA OMBI LANGU HILO JUU?
 
Mkuu Mnada wa mbuzi kwa mkata ni siku gani? nataka kwenda huko wiki ijayo, naomba ushauri. Pia kama ukinipa bei elekezi kwa mbuzi ni TZS ngapi kwa sasa kwa Mkata nitashukuru sana sana,.
WADAU NA WANAFAMILIA, HAKUNA YOYOTE MWNYE UFAHAMU WA OMBI LANGU HILO JUU?
 
Back
Top Bottom