Mnada wa mifugo Morogoro upo wapi Jumatano au Alhamisi?

Ĺ
Asante sana mkuu

Siku za minada ya mifugo ni
1. Jumamosi - mikongeni
2. Jumapili - nanenane
3. Jumatatu - mpakani mwa Turiani na Tanga (jina limenitoka)
Napenda natangulize shukrani kwako wewe na kwao wadau walionielekeza jana nimeenda mnadani na kufaidi Evarm 👏 👏
Siku za minada ya mifugo ni
1. Jumamosi - mikongeni
2. Jumapili - nanenane
3. Jumatatu - mpakani mwa Turiani na Tanga (jina limenitoka)
 
Siku za minada ya mifugo ni
1. Jumamosi - mikongeni
2. Jumapili - nanenane
3. Jumatatu - mpakani mwa Turiani na Tanga (jina limenitoka)
@evarm na yeyote mbuzi nawapata huko vijijini wapi
 
Ukitaka mbuzi nenda mkata utapata wengine sana!
Au wahi mnadani Kwalugulu& mziha siku ya Leo ni mnada
Mkuu Mnada wa mbuzi kwa mkata ni siku gani? nataka kwenda huko wiki ijayo, naomba ushauri. Pia kama ukinipa bei elekezi kwa mbuzi ni TZS ngapi kwa sasa kwa Mkata nitashukuru sana sana,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…