johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Madalali wote ni wababaishaji!Hii Kampuni Ya Yono Kwanini Inapewa Kazi Wakati Imejaa Ubabaishaji Mwingi
Daudi kuna Bajaj new model zitanadishwa hapa karibu!Fedha nyingi????
Hahahaa...... Wanavizia IST za Uber!Watanzania wanapenda vya dezo au bei chee, bila kujua vya dezo au bei chee ni gharama kubwa sanaaa
Mnada una kiingilio?
Huyo Yono Kivela lazima ni mfuasi wa Chadema!
AaaaiiiseeeMnada una kiingilio?
Huyo Yono Kivela lazima ni mfuasi wa Chadema!
Hio stori niliisikiaga Kasulu mji mdogo habari zote unazipata..hahahaGTZ Hapo Nakumbuka Masanja Aliwahi Kuja Kwenye Mnada Akakutana Na Matajiri Wa Arusha Ikawa Hatari Yaani Watu Wana Cash
Nilijua ndugu ndo maana sikujaNipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana,, yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..
Huku CCM tozo za wizi zimepigwa marufuku.Ni kada mwenzenu huyo na ameshawahi kuwa mbunge huko Njombe kwa miaka mingi tu kupitia hicho chama chenu. Awamu hii iliyojaa ubaguzi wa kila aina haiwezi kutoa hiyo tenda ya udalali kwa mtu wa chadema. Maana ule msemo wa 'huyu ni mwenzetu' ndiyo umerudi sasa kama enzi zileee!
hebu nitake radhi.Daudi kuna Bajaj new model zitanadishwa hapa karibu!
Au umekosa 30,000/= cash?!!Nilijua ndugu ndo maana sikuja
Hahahaa....... Kunradhi kamanda!hebu nitake radhi.
Hahahaa...... Wanavizia IST za Uber!
Hahahaa........ Salary slip na Mrangi wamepiga kambi Yono tangu jana wanasubiria IST za dezo!Yes.. 😅 Hasa machadema..!
Kwahiyo zimekushinda!Me mwenyewe nilikua nazivizia
Hili pia nimeskia YONO wamelifanya leoMinada ipo UNHCR unalipa 1,000,000 unaingia kwenye mnada unanunua kama ni generator, gari, furniture ukitoka zako unarudishiwa hio 1,000,000 hawataki watu wengi humo
30,000 hairudi, hiyo ni entry fee halafu kuna 2M ambayo ndio itarudiUnarudishiwa either umenunua au hujanunua kitu...sidhani kama hawa wanaolipa 30,000 watarudishiwa