Mnada wa Yono na tamaa ya watendaji

Mnada wa Yono na tamaa ya watendaji

Watanzania wanapenda vya dezo au bei chee, bila kujua vya dezo au bei chee ni gharama kubwa sanaaa
 
Mnada una kiingilio?
Huyo Yono Kivela lazima ni mfuasi wa Chadema!

Ni kada mwenzenu huyo na ameshawahi kuwa mbunge huko Njombe kwa miaka mingi tu kupitia hicho chama chenu. Awamu hii iliyojaa ubaguzi wa kila aina haiwezi kutoa hiyo tenda ya udalali kwa mtu wa chadema. Maana ule msemo wa 'huyu ni mwenzetu' ndiyo umerudi sasa kama enzi zileee!
 
GTZ Hapo Nakumbuka Masanja Aliwahi Kuja Kwenye Mnada Akakutana Na Matajiri Wa Arusha Ikawa Hatari Yaani Watu Wana Cash
Hio stori niliisikiaga Kasulu mji mdogo habari zote unazipata..hahaha
 
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana,, yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..
Nilijua ndugu ndo maana sikuja
 
Ni kada mwenzenu huyo na ameshawahi kuwa mbunge huko Njombe kwa miaka mingi tu kupitia hicho chama chenu. Awamu hii iliyojaa ubaguzi wa kila aina haiwezi kutoa hiyo tenda ya udalali kwa mtu wa chadema. Maana ule msemo wa 'huyu ni mwenzetu' ndiyo umerudi sasa kama enzi zileee!
Huku CCM tozo za wizi zimepigwa marufuku.

Hapo bahari beach wiki yote hii Yono alikuwa anakusanya hicho kiingilio cha mnada wa leo!
 
300×700 watu =washaingiza pesa
Wakati minada watu Wanakuwa washandaa mazingira kabla,
Hiyo ya sahv no zuga tu

Ova
 
Minada ipo UNHCR unalipa 1,000,000 unaingia kwenye mnada unanunua kama ni generator, gari, furniture ukitoka zako unarudishiwa hio 1,000,000 hawataki watu wengi humo
Hili pia nimeskia YONO wamelifanya leo
 
Back
Top Bottom