NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kwa sasa ni ngumu kuelewa kwa kua timu ya Yanga sc inapata matokeo na ndiyo maana ukihoji kitu kuhusu Yanga SC mashabiki wanona kama umetumwa au wewe ni mamluki tu upo kuichafua Yanga SC na viongozi wao.
ukweli ni kwamba binafsi nilipoona haya yafuatayo tu nilijua kuna kikundi cha watu wachache kimekuja kutengeneza pesa kupitia Yanga SC.
(1) Raisi wa yanga kupita bila ya kupingwa , hili ni jambo la kushangaza timu kama Yanga tena timu ya wanachama na wanachama wana haki ya kupiga kura na kugombea pamoja na kumchagua kiongozi wanaomtaka wao lakini kwa Eng Hers imekua tofauti kabisa za ndani kabisa kuna watu walitaka kugombea lakini waliitwa kando na kutulizwa kuwa wamuache Hers na kweli hers alikosa upinzani na kupita bila ya kupingwa.
(2) Kufichwa baadhi ya mikataba kama Whizmo na mengineyo, nilishangazwa na taarifa za mkutano mkuu kuona kipengele cha vyanzo vinginevyo bila kuwaambia wanachama kuwa mikataba hiyo imeingiza shilingi ngapi hapa ni dhahiri kabisa huu uongozi upo kwa ajili ya masilahi yao binafsi na siyo masilahi ya timu.
(3) Timu inapata hasara na si kuingiza faida, msimu uliopita timu ilipata faida ya milioni 450+ lakini msimu uliofuata timu imepata negative na ukichunguza kwa undani kuna baadhi ya mambo yamefunikwa funikwa ikiwemo mapato ya timu na timu inaingiza shilingi ngapi wameficha kwa jicho la tatu Eng hers yupo pale juu kuwanufaisha watu na siyo timu.
Viongozi mnoongoza hizi timu za kariakoo msidhani kuwa mnaongoza mbumbumbu hayo mambo ya zama za kiza yamekwisha pita kwa hiyo wekeni mambo hadharani .