Mnadhani kwa huu mpango kabambe wa viongozi wa Yanga utaacha kuleta lawama na makelele kwa watu makini kama Mimi na wengineo?

Mnadhani kwa huu mpango kabambe wa viongozi wa Yanga utaacha kuleta lawama na makelele kwa watu makini kama Mimi na wengineo?

Wabongo ujuaji mwingi, mtu mmoja anajifanya anajua kukosoa ufundishaji, uchezaji, uchumi, n.k. hivi kabla ya ujio wa Manji, Mo na GSM hizi vilabu vilikuwa na hali gani kiuchumi, kimafanikio na kithamani? Tulikuwa tunazidiwa hadi timu za Kenya, Sudani. Leo hii GSM na Mo wamezifanya hizi timu zipande thamani, ubora na mafanikio tele Africa mnaanza majungu na fitina kuwa zinapata faida.

Je mashabiki wanataka pesa au mafanikio? Kwasababu hizo ela ambazo mnazohoji kuwa wanachukua ni matokeo ya hao hao wakina Mo na GSM kuzikuza hizo timu na mwisho kuongeza ushawishi kwa wadhamini ili kufanya wao wasipate hasara kwa kutoa pesa zao mifukoni kuendesha timu. Kabla ya ujio wa hawa watu vilabu vilikuwa vinaingiza sh ngapi kiasi kwamba tuone hivi vilabu vilikuwa na pesa za kutosha?
Si ndio maana mashirika na biashara zinakufa daily kwa roho kama hizi za kishirikina
Hizi team huwa zipo TU na hazizalishi chochote zaidi ya hasara na hii ni kwa soka lote la afrika ukiondoa kule Egypt na Morroco ndio maana kati ya vitu wazungu hawathubutu ni kuwekeza kwenye michezo afrika maana Haina faida
Anakuja mtu anatake risk Kisha yanainuka majungu ya ajabu ajabu na vita zisizo na kichwa Wala miguu.
 
Back
Top Bottom