Mnadili vipi na mwanamke ambaye ni careless

Dx and Rx

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
1,323
Reaction score
3,143
Kichwa cha habari chahusika.

-Hamna mpangilio wa ratiba ya nini akifanye kwa muda gani

-Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake

-Hazingatii alicho nacho hadi kinapitwa na muda wake wa matumizi na kusababisha hasara

-Akiambiwa kitu hakijakaa sawa anahisi kuonewa na kulalamika ilihali yeye ndio muhusika

Kwa ustawi wa familia mnadili vipi na mwanamke wa hivi?
 
Kama huja muoa muacha usije kuja kutuulia dada etu baadae ....tafuta anae kufaaa.....kama umemuoa wewe si kichwa cha nyumba mfundishe taaritibu bila kuchoka
 
Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake
Kubali tu umeyatimba.
Ulitumia hisia wakati unaanzisha mahusiano hukuangalia sifa zingine.
Mfano: Akili yake, uwezo wa kujieleza, n.k.
Jikaze kiume vumilia haupo peke yako kati ya watu wenye mizigo mizito majumbani mwao.
 
Kubali tu umeyatimba.
Ulitumia hisia wakati unaanzisha mahusiano hukuangalia sifa zingine.
Mfano: Akili yake, uwezo wa kujieleza, n.k.
Jikaze kiume vumilia haupo peke yako kati ya watu wenye mizigo mizito majumbani mwao.
Mkuu; hii comenti ni nzuri mno ; inafaa kutumika kwa mafunzo kabla ya kufunga ndoa.
 
ukiona mwenzio ni kisilani wewe ni kisilani part 2
kuna mambo ambayo ni ya msingi, hata yeye anajua ni msingi ila ukimwambia anaonesha kutotekeleza, sasa hapo kisirani chake mbona kiko tofauti na changu ambacho kinatambua mambo ya msingi
 
mtie mimba tu,
halafu ya kwanza na ya pili viachane muda kiduchu sana, atanyookaa tu 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…