Dx and Rx
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,323
- 3,143
- Thread starter
- #41
ana kitu inaitwa perfection sense [emoji205]
ati hafanyagi makosa na wala hakosei, yupo sahihi always. ati wew ndie unashida unamfatilia sana ama unajidai sana kwa vile umesoma na unapesa [emoji851]
suluhu ni kumpatia na kumuongezea majukumu yake ya uzazi na malezi tu [emoji205]
Aisee hapa umepatia kabisa kumuelezea, mara nyingi anaweza kutoa maneno kuashiria ananyanyaswa kwa kitu kidogo tu ambacho ni jukumu la mwanamke kwenye nyumba yake.