Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
umemaliza ndo maana hata yeye kasema solution labda WAMUUE 😀 😀Ni asili yake tumuache
manara huwaga hatafuti sympath hata zile kuomba msamaha alikuwa namchora tu kariaJamaa anajua ana watu wengi nyuma, cha ajabu anazingua sana kiburi, kujiona, kutaka sifa yeye! Then akimaliza hapo anatafuta sympathy..
Ninachojua wananchi wanaweza kujaza uwanja bila manara lakini kaona akikaa kimya hatopata sifa anataka yeye ndio aonekane kafanya watu wajae hahaha
Hebu onesha tusi aliloliandika,acha uongo weweHuyo mnaemtetea kuwa kaonewa kaibuka tena na kudai atapambana hadi mumuue, hata kama kuna watu wanataka kumsaidia, huyu ni wa kumsaidia kweli
Kwahiyo kama anaamini kaonewa adabu ni kukaa kimya?
Kwann unamzuia asiongee?
Acha umbea haukusaidii kitu. Maisha ya Manara na tabia zake zinamfaa mwenyewe na wanaomuelewa. Kama humuelewi hulazimishwi kumuelewa.Huyo mnaemtetea kuwa kaonewa kaibuka tena na kudai atapambana hadi mumuue, hata kama kuna watu wanataka kumsaidia, huyu ni wa kumsaidia kweli
kama ilivyotolewa kichuki na kisiasaa itanyamazishwa hivyo hivyo... when u think ur the bigger fish in the ocean expect surprisewiki mbili nyingi,atasamehewa.