Mnaemtetea bado anatukana huko Instagram, nidhamu yake ni 0

Mnaemtetea bado anatukana huko Instagram, nidhamu yake ni 0

Ngoja TFF waione halafu wakate rufaa kuongeza adhabu

Round hii watahakikisha wanapiga faini na kusomba pesa zotee kama alivyofanya Azizi Ki
 
manara yule ukitaka kupambana nae sawa na kumkimbiza chizii 😀 😀 😀 😀 yule ni zaidi ya KUJIKUTA MWAMBAA...anajikuta special sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utapoteza muda wako wote na utachoka hadi meno wakati yeye kuongea na kulumbana ndio hobby yake.
 
Akimaliza matusi mwambie apeleke 20m ya watu asiiweke bank maana kuna makato huko ya mwigulu halafu bado siku chache tu 365 + 365 - 1 = 723 zitaisha tu
 
Ngoja TFF waione halafu wakate rufaa kuongeza adhabu

Round hii watahakikisha wanapiga faini na kusomba pesa zotee kama alivyofanya Azizi Ki
Unasema Aziza k tamu kawafirisi utopolo
 
Huyo mnaemtetea kuwa kaonewa kaibuka tena na kudai atapambana hadi mumuue, hata kama kuna watu wanataka kumsaidia, huyu ni wa kumsaidia kweli
Kwani hayo matusi alifundishwa na nani? Si mlimfundisha wenyewe alipokuwa msemaji wenu!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utapoteza muda wako wote na utachoka hadi meno wakati yeye kuongea na kulumbana ndio hobby yake.
anapenda sanaa hizo fujooo simba kumpuuza sio wajingaa 😀 😀
 
Huyu dawa yake moja tu. Akikata Rufaa wampunguzie faini mpaka milioni 5 Kisha kifungo kiongezwe mpaka miaka 5.
 
Mnavyompaisha manara yaani ni kama mnamuongelea IGP niwakumbushe tu hata makonda alikuwa na fujo na mikwara ila leo analima matikiti huko hta kama sio kwa hii adhabu ila huyo manara anguko lake litakuwa kubwa na la kufedhehesha kabisa.
 
Back
Top Bottom