[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utapoteza muda wako wote na utachoka hadi meno wakati yeye kuongea na kulumbana ndio hobby yake.manara yule ukitaka kupambana nae sawa na kumkimbiza chizii 😀 😀 😀 😀 yule ni zaidi ya KUJIKUTA MWAMBAA...anajikuta special sana
Unasema Aziza k tamu kawafirisi utopoloNgoja TFF waione halafu wakate rufaa kuongeza adhabu
Round hii watahakikisha wanapiga faini na kusomba pesa zotee kama alivyofanya Azizi Ki
Kwani hayo matusi alifundishwa na nani? Si mlimfundisha wenyewe alipokuwa msemaji wenu!Huyo mnaemtetea kuwa kaonewa kaibuka tena na kudai atapambana hadi mumuue, hata kama kuna watu wanataka kumsaidia, huyu ni wa kumsaidia kweli
anapenda sanaa hizo fujooo simba kumpuuza sio wajingaa 😀 😀[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utapoteza muda wako wote na utachoka hadi meno wakati yeye kuongea na kulumbana ndio hobby yake.
Si akate rufaa tuKwahiyo kama anaamini kaonewa adabu ni kukaa kimya?
Kwann unamzuia asiongee?
Hili neno asili yake nin hiv. HahhahaByuti byuti
Byuti ya nyokweByuti byuti
Labda aliwe tigowiki mbili nyingi,atasamehewa.