Mnafanikiwa vipi ukitakiwa kuamua maamuzi magumu?

Ukishajitambua na kujua thamani yako kuchukua maamuzi magumu haiwezi kuwa tatizo usiishi kwa kutegemea au kufurahisha mtu, kumbuka hakuna anaeweza kukupa furaha zaidi yako mwenyewe .
Amina. Ni kweli kabisa usemacho. Asante sana.
 
Wandugu huwa mnakabiliana vipi na hali ya kutakiwa kuamua maamuzi magumu ya kuumiza moyo?

Mnafanikiwa vipi kuipita hiyo changamoto?. πŸ₯ΊπŸ₯Ί ili uwe sawa kama hapo kabla πŸ˜”
Achana na mapenzi utakufa bure we tafuta pesa...mapenzi yatakusaka yenyewe
 
Mnaumia bure fambaf zenu, nisikilizeni mimi, ukiona chenga chenga kwenye mahusiano usifosi...huyo hujazaliwa naye...tulizana na ongeza bidii kutafuta pesa, unone, uvutie yaanze kujigonga yenyewe...mjinga wewe🀣🀣🀣
Mkuu hili siyo swala la mahusiano. Naomba unielewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…