Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mapenzi utakufa bure we tafuta pesa...mapenzi yatakusaka yenyeweWandugu huwa mnakabiliana vipi na hali ya kutakiwa kuamua maamuzi magumu ya kuumiza moyo?
Mnafanikiwa vipi kuipita hiyo changamoto?. 🥺🥺 ili uwe sawa kama hapo kabla 😔
Ongea nayo itakuelewaSiyo mapenzi. Kuhusu pesa
Kama hiyo picha kwa profile ni yako naomba niuze nyumba ya urithi nikupe hela unitunzieAhaha yani mie naomba ushauri, wewe unauliza picha tena 🙄
Jambo lolote hakikisha unakula tikiti la baridiAhahah ushauri mzuri sana huu nimeukubali nitaufanyia kazi. Ingawa siyo swala la kuachwa au kuacha.
We falla umetania lkn una hoja😂Jambo lolote hakikisha unakula tikiti la baridi
Au chemsha nyanya unywe ukianza kuharisha yale mawazo ya maumivu yanatoka una move on chap
Chukua hii mdogo wangu
Kama mshauri kweli vile.Sio kipindi kigumu, ila kwa kuwa ulishazoea ndio mana unaona ugumu. Em jipe punziko la mwezi hv usiwaze hiyo Ishu uone jinsi jambo litakavyokuwa jepesi
Mkuu hili siyo swala la mahusiano. Naomba unielewe.Mnaumia bure fambaf zenu, nisikilizeni mimi, ukiona chenga chenga kwenye mahusiano usifosi...huyo hujazaliwa naye...tulizana na ongeza bidii kutafuta pesa, unone, uvutie yaanze kujigonga yenyewe...mjinga wewe🤣🤣🤣
Kuna watu wananiona kama muongozo wao wa kimaishaKama mshauri kweli vile.
Usiwamwage Shimoni tu.Kuna watu wananiona kama muongozo wao wa kimaisha
Usikipe umuhimu kinachokuondolea furaha.Jamani kusema ni rahisi ila moyo ndiyo tatizo. Usingizi wote umekata.