Mnafanikiwa vipi ukitakiwa kuamua maamuzi magumu?

Jamani kusema ni rahisi ila moyo ndiyo tatizo. Usingizi wote umekata.
Pole sana mkuu, hakuna lisilo na mwisho siku zote jiandae kisaikolojia kuyapokea yote katika maisha, hata magumu vinginevyo utakwama sehem moja kwa muda mrefu sana na itakugarimu sana hasa kiafya.
 
Wandugu huwa mnakabiliana vipi na hali ya kutakiwa kuamua maamuzi magumu ya kuumiza moyo?

Mnafanikiwa vipi kuipita hiyo changamoto?. 🥺🥺 ili uwe sawa kama hapo kabla 😔
Eleza shida yako, changamoto ni sehemu ya maisha, changamoto inatakiwa ukabiliane nazo hatuzikimbii changamoto wewe fafanua tatizo lako wadau wakusaidie
 
Ni kweli huwa hazikimbiwi mkuu.
 
Pole sana mkuu, hakuna lisilo na mwisho siku zote jiandae kisaikolojia kuyapokea yote katika maisha, hata magumu vinginevyo utakwama sehem moja kwa muda mrefu sana na itakugarimu sana hasa kiafya.
Asante sana, ni ukweli mtupu uliosema.
 
Back
Top Bottom