OCCID Dominik
JF-Expert Member
- Apr 29, 2024
- 218
- 395
Wakuu nahitaji nikopeshwe kwenye haya makampuni ya online,nimedownload app kadhaa na kuomba najaza taarifa zooote muhimu mwishowe naambiwa nisubiri baada ya nusu saa ntajibiwa halafu inakuwa holla..
Vipi wazoefu KAMPUNI ya uhakika ni ipi na nifanye je?
Vipi wazoefu KAMPUNI ya uhakika ni ipi na nifanye je?