Mnafanyaje kuuza madeni ya mkopo wa bank moja kwenda nyingine kwa mtumishi?

CAMANGA

Member
Joined
May 14, 2023
Posts
72
Reaction score
299
Tunaombeni hizo mbinu wakuu Hali ni Tete nilichukua mkopo wa Bayport baada ya huu mfumo wa ESS kuja saivi imekuwa ngumu kuuza deni

Mnatumia mbinu gani jamani.

Balance ya mkopo ni 1,800,000 na Makato Kila mwezi ni 62000 nifanyaje hapa wakuu, Nina uhitaji sana na hela kwa muda huu na njia pekee niliyobaki nayo ni kuuza deni
 
Mkopo wa Bayport hauuziki kwa benki kama CRBD, NBC, NMB, EXIM, hawana uhusiano kibiashara, nadhani kwa sababu terms za bayport haziendani na za kwao
 
Aisee hapa tunatokaje mkuu hii kitu inanisumbua mno
 
Tafuta Hela cash uwasiliane nao uwalipe Huwa ni wasumbufu kidogo kutuma barua ya kuondoa Makato ila jitahidi umuonyeshe afisa utumishi wako slip ya malipo husika ,wasipokutumia barua ya kusitisha Makato andika barua kwenda BOT itafanyiwa utatuzi ndani 14 days na watatoa Makato yao ndugu ni hivyo tu
 
Back
Top Bottom