Mnafanyeje kuachana na wanawake wasiowataka huku wamekula pesa zenu

Mnafanyeje kuachana na wanawake wasiowataka huku wamekula pesa zenu

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Huyu kala pesa zangu nyingi lakini hataki kutoa mzigo. Alinipa mara Moja tu Tena baada ya kulazimisha. Najitahid niachane nae lakini nafsi inagoma. Kibaya zaidi tumepanga ghorofa Moja. Akiniona anabaki uchiuchi
 
Unamuacha tu na kujiaminisha (japo ni kweli) kwa kumsikitikia kwamba huyu bimdada angefaidi vingi ila yeye kaamua kuishia vichache.

Ona utaumia kama wewe mwenyewe hujajiamini thamani yako, uwezo wako etc.

Angalizo, usiingie katika ufala(fallacy) wa sunk cost fallacy ukaanza kutumia gharama zaidi eti kwa sababu tu ushawekeza saaana kabla. No unatakiwa kukubali hasara na kusonga mbele. Huo ndio uanaume. Sio kila utakayemtaka na kumgharimia atakubali.

Kawekezebkwingine kwenye return nzuri hapo pashabuma. Japo nakuonea huruma maana ingekuwa rahisi kama hamuonani sana. Ndo maana mda nwingine mnashauriwagwa msitongoze wapangaji wenzenu hapohapo hayo ndo madhara yake.
 
Back
Top Bottom