Mnafiki ishi naye Kinafiki: Ni wakati wa kumrudisha Kagere na Boko Simba

Mcheza Piano

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2024
Posts
562
Reaction score
1,339
Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma.

Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
 
Boko keshaanza ukocha wa timu ya vijana Ila nafasi tulizokosa mechi ya kwanza na mafarao hata Mimi nilimkumbuka Kagere.
 
Jamii Forum from the Home of Great Thinker mbaka huku.

Hii ni aibu sana.

ANYWAY LONG LIVE JAMII FORUM.
 
Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma.

Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
Haha.....
 
Sina hakika kama unafuatilia maswala ya mpira wa Bongo na viwango vya Bocco na Kagere. Ni sawa na ukuta wenye ufa kuukarabati kwa kupaka rangi pekee. Bocco na Kagere walishapewa sana nafasi, tena na tena wakashindwa.
Ukifatilia kwa makini mwenendo wa Simba utagundua ni upumbavu wa viongozi wetu nyakati zote za usajili. Huu ndio mzizi wa tatizo. Ushauri wangu ni kuwakataa viongozi wote Mangungu na Try Again. Fanyeni haraka kabla ya ligi kuisha
 
Haya ni mawazo ya kijasibu?
 
Back
Top Bottom