Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Yuko benchi fcBoko yuko timu gani mkuu?
Haha.....Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma.
Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
Anachukua(masomoni) course ya ukochaHivi Boko yupo wapi, kazima ghafla kama mshuma.
Haya ni mawazo ya kijasibu?Sina hakika kama unafuatilia maswala ya mpira wa Bongo na viwango vya Bocco na Kagere. Ni sawa na ukuta wenye ufa kuukarabati kwa kupaka rangi pekee. Bocco na Kagere walishapewa sana nafasi, tena na tena wakashindwa.
Ukifatilia kwa makini mwenendo wa Simba utagundua ni upumbavu wa viongozi wetu nyakati zote za usajili. Huu ndio mzizi wa tatizo. Ushauri wangu ni kuwakataa viongozi wote Mangungu na Try Again. Fanyeni haraka kabla ya ligi kuisha