Mnafiki wa kwanza huyu hapa bongo muvi

msibani haimaanishi ndo unalia mwanzo mwisho, unalia, unanyamaza, unaongea na kama wapo watakaokuchekesha hasa friends wanaokuja kukufariji basi unacheka. Hata ufiwe na mzazi wako hali ndo iko hvyo. Sembuse JB kafiwa na mfanyakazi mwenzie?
 
Huzuni ya mtu huwezi kuipima kwa macho,yawezekana usoni anacheka ila moyoni analia,na mwingibe anaweza kulia hadi kuzimia ila moyoni anashangilia
 
🏃🏇🏇🏇🏃 🏃 🚶🚶
 

Eh sa ulitaka alie siku nzima kha....mayb kuna kilichomchekesha
 


kweli namimi niliona LIVE Nomaa! lol Zamaradi Mwenyewe alicheka
 
Asante kwa kuliona hilo siyo utamaduni wa muafrika hata kwa majumuisho yangu nimesema kweli huwezi kulia wakati wote pia hata kucheka kuna wakati wake na mahala pake mfano wkt jb anatoa speech yake ya mwisho kwa nn asinge cheka..... Alafu yeye kwenye tv anacheka huu ni unafik na uzandiki mimi sikupenda hata kidogo
 
Kuongezea wakati yule Miriamu anasema Marehemu alikuwa anamwita" My Number One Super star" na kumpa shati la Urithi niliona JB na Mtitu waliangaliana Macho Fulani hivi na big smile , siyo wa kuwalaumu sana Inaonekana Marehemu alikuwa na Vijimamboo! RIP Kuambiana ..
 
Duuh...Nimesoma.. Nikarudia kusoma bado..

Sijui ni Mimi sielewi au Mada ndiyo haieleweki??
 
Ukishakufa shughuli yako inaishia hapowatu wanautumia Msiba kama fursa za kujitangaza na kama hamko makini watu wanautumia kama fursa za kutokea,Mlishuhudia kwa Kanumba watu wamepiga Rambirambi watu wakiwa wanaangalia kwa macho hawaamini kinachotokea watu wamepiga mpaka michele na wengine nasikia hadi wamenunua magari,kufa kufaana Mkuu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Wewe ni mpuuuuuumba. V
Watu kwenye misiba wanakutana wanafarijiana wanabadilishana mawazo
 
Kucheka c kufurahi na kununa sio mwisho wa msiba. Inafika wakati mzazi aliondokewa name Mtoto anacheka sembuse yy eti msanii mwenzake
 
wewe ni mpuuuuuuuuu.Z

WATU KENYE MISIBAWANAKUTANA WANABADILISHANA MAWAZO NA WALA SIYO KUCHEKA CHEKA KA VILE UNAME....GW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…