Mnagombana unanuna, unafuta namba zake za simu, badae unasave tena; hakika mapenzi nyoso.

Mnagombana unanuna, unafuta namba zake za simu, badae unasave tena; hakika mapenzi nyoso.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alinikera,nikasusa,nikafuta namba zake. Bahati mbaya sijazishika kichwani maana hata zangu sijashika.
Nikammiss kweli alafu siwezi kumtafuta, basi kila simu ikiita natamani awe yeye. Akaninyoosha kwanza for one week, then ndio akaja kupiga. Alivyopiga nikawa kama nishaanza kuzoea kuishi bila yeye.
Auntie huyu nani sasa [emoji848][emoji848]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kumbe hii ya kusubiri mwito wa simu ni kwa wote????......yaani Leo nina stress kila text nachungulia siyee jamani
Hahhahah poyeee
 
Yaani kona zote nimefuta ....kwa hasira call history yote nimepiga delete all
WhatsApp kote futaaa simu zote nimesafisha hakuna hata alama ya namba zake ...bora nipate stress za muda mfupi kuliko kero za kila siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijawahi kariri namba ya demu yoyoote, zaidi ya mmojaa tu
Kati ya namba zote nilizokariri ni namba ya mpenzi wangu wa kwanza nimeshindwa kuisahau kabsa japo kaolewa, ni zaidi ya miaka 8 ila zingine nakariri wiki tu nikiifuta na kichwani inafutika kabsa na sitokaa niikumbuke daima..
 
Back
Top Bottom