MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tunawezaje kuwachukia ilhali nyinyi ndio mnazindua airline yenu na sisi tunazo ndege zaidi ya themanini. Hatuwezi waonea wivu, tunawapongeza ndugu zetu kwa kujaribu kununua angalau mindege kadhaa ili hata nyinyi muhisi jinsi sisi tunavyohisi kila siku. Huku ukitaka kuenda Bangkok KQ inaenda huko, London KQ inaenda huko,China KQ inaenda huko. List ni ndefu.Lakini hongera zenuHata kama mimi ningekuwa mkenya wallah!! Ningewachukia Watanzania.
😉😉😉
Tunawezaje kuwachukia ilhali nyinyi ndio mnazindua airline yenu na sisi tunazo ndege zaidi ya themanini. Hatuwezi waonea wivu, tunawapongeza ndugu zetu kwa kujaribu kununua angalau mindege kadhaa ili hata nyinyi muhisi jinsi sisi tunavyohisi kila siku. Huku ukitaka kuenda Bangkok KQ inaenda huko, London KQ inaenda huko,China KQ inaenda huko. List ni ndefu.Lakini hongera zenu
Tega sikio sasa. KQ is a private company. KQ unlike ATCL is not fully owned by the government. Yaani, kuna shareholders (GOK 48%, BANKS 36%, KLM 7%)hizo ndege ni zenu au mmekodi usijilinganishe na wamiliki halali
yaan wanasema mwanaume anaendesha gari ya baba ake hana haki ya kumdharau mwanaume ansendesha baiskeli yake
serikali yenu haina ndege wewe tulia sisi ndege ni zetuTega sikio sasa. KQ is a private company. KQ unlike ATCL is not fully owned by the government. Yaani, kuna shareholders (GOK 48%, BANKS 36%, KLM 7%)
Kwa hivyo hatuwezi bainisha na tuseme tumenunua na pesa zetu kama wananchi. Ndege zote ni za KQ na zimenunuliwa na kampuni kupitia shareholders.
Ndege ni za kampuni ya KQ, sio mali ya umma ama serikali. UNAELEWA?
Muwache dharau ndogo za kishenzi. Kama hamuelewi LAMBA LOLOView attachment 820549View attachment 820548
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ni vyemaserikali yenu haina ndege wewe tulia sisi ndege ni zetu
Wakuu mpaka nimeshau hii ni ya ngapi?BTW fresh off the painting booth ,fresh as the newborn.
Huyu ni member mpya kwenye family. Ana siblings wengine huku nyumbani mmoja mkubwa na wadogo zake kadhaa.
Yeye na kaka yake mwingine wanatua nchini mwezi wa 11.View attachment 820426
addressing the vice president:wambie wasikilize hii[emoji12]
hahahaha watanzania ni bongolala wa kiakili kabisa...nina uhakika hatokuelewa hata baada ya kumpa explanation nzuri kama hii...hao wanaona ndege ni lazima tu iwe mali ya serikali...education system yao sijui iko aje hawa jamaa😀😀Tega sikio sasa. KQ is a private company. KQ unlike ATCL is not fully owned by the government. Yaani, kuna shareholders (GOK 48%, BANKS 36%, KLM 7%)
Kwa hivyo hatuwezi bainisha na tuseme tumenunua na pesa zetu kama wananchi. Ndege zote ni za KQ na zimenunuliwa na kampuni kupitia shareholders.
Ndege ni za kampuni ya KQ, sio mali ya umma ama serikali. UNAELEWA?
Muwache dharau ndogo za kishenzi. Kama hamuelewi LAMBA LOLOView attachment 820549View attachment 820548
Hata Tanzania ni yenu na bado LDC.serikali yenu haina ndege wewe tulia sisi ndege ni zetu
hongera kwa post yenye busara broTunawezaje kuwachukia ilhali nyinyi ndio mnazindua airline yenu na sisi tunazo ndege zaidi ya themanini. Hatuwezi waonea wivu, tunawapongeza ndugu zetu kwa kujaribu kununua angalau mindege kadhaa ili hata nyinyi muhisi jinsi sisi tunavyohisi kila siku. Huku ukitaka kuenda Bangkok KQ inaenda huko, London KQ inaenda huko,China KQ inaenda huko. List ni ndefu.Lakini hongera zenu
Tega sikio sasa. KQ is a private company. KQ unlike ATCL is not fully owned by the government. Yaani, kuna shareholders (GOK 48%, BANKS 36%, KLM 7%)