Mnahesabu lakini? She is just there shaking her feather tail like nobody's business

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakuu mpaka nimeshau hii ni ya ngapi?BTW fresh off the painting booth ,fresh as the newborn.
Huyu ni member mpya kwenye family. Ana siblings wengine huku nyumbani mmoja mkubwa na wadogo zake kadhaa.
Yeye na kaka yake mwingine wanatua nchini mwezi wa 11.
IMG_20180727_190522_415.jpg
 
Bravo my beloved country TANZANIA.

Bravo my beloved President JPM.
 
Hata kama mimi ningekuwa mkenya wallah!! Ningewachukia Watanzania.
😉😉😉
Tunawezaje kuwachukia ilhali nyinyi ndio mnazindua airline yenu na sisi tunazo ndege zaidi ya themanini. Hatuwezi waonea wivu, tunawapongeza ndugu zetu kwa kujaribu kununua angalau mindege kadhaa ili hata nyinyi muhisi jinsi sisi tunavyohisi kila siku. Huku ukitaka kuenda Bangkok KQ inaenda huko, London KQ inaenda huko,China KQ inaenda huko. List ni ndefu.Lakini hongera zenu
 
hizo ndege ni zenu au mmekodi usijilinganishe na wamiliki halali

yaan wanasema mwanaume anaendesha gari ya baba ake hana haki ya kumdharau mwanaume ansendesha baiskeli yake
 
Tega sikio sasa. KQ is a private company. KQ unlike ATCL is not fully owned by the government. Yaani, kuna shareholders (GOK 48%, BANKS 36%, KLM 7%)

Kwa hivyo hatuwezi bainisha na tuseme tumenunua na pesa zetu kama wananchi. Ndege zote ni za KQ na zimenunuliwa na kampuni kupitia shareholders.

Ndege ni za kampuni ya KQ, sio mali ya umma ama serikali. UNAELEWA?

Muwache dharau ndogo za kishenzi. Kama hamuelewi LAMBA LOLO
IMG_20180727_210858_768.jpg
View attachment 820548
 
Tega sikio sasa. KQ is a private company. KQ unlike ATCL is not fully owned by the government. Yaani, kuna shareholders (GOK 48%, BANKS 36%, KLM 7%)

Kwa hivyo hatuwezi bainisha na tuseme tumenunua na pesa zetu kama wananchi. Ndege zote ni za KQ na zimenunuliwa na kampuni kupitia shareholders.

Ndege ni za kampuni ya KQ, sio mali ya umma ama serikali. UNAELEWA?

Muwache dharau ndogo za kishenzi. Kama hamuelewi LAMBA LOLOView attachment 820549View attachment 820548

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
serikali yenu haina ndege wewe tulia sisi ndege ni zetu
 
Tega sikio sasa. KQ is a private company. KQ unlike ATCL is not fully owned by the government. Yaani, kuna shareholders (GOK 48%, BANKS 36%, KLM 7%)

Kwa hivyo hatuwezi bainisha na tuseme tumenunua na pesa zetu kama wananchi. Ndege zote ni za KQ na zimenunuliwa na kampuni kupitia shareholders.

Ndege ni za kampuni ya KQ, sio mali ya umma ama serikali. UNAELEWA?

Muwache dharau ndogo za kishenzi. Kama hamuelewi LAMBA LOLOView attachment 820549View attachment 820548
hahahaha watanzania ni bongolala wa kiakili kabisa...nina uhakika hatokuelewa hata baada ya kumpa explanation nzuri kama hii...hao wanaona ndege ni lazima tu iwe mali ya serikali...education system yao sijui iko aje hawa jamaa😀😀
 
Another National holiday loading... Kazi isimame tupokee ndege.
 
Tunawezaje kuwachukia ilhali nyinyi ndio mnazindua airline yenu na sisi tunazo ndege zaidi ya themanini. Hatuwezi waonea wivu, tunawapongeza ndugu zetu kwa kujaribu kununua angalau mindege kadhaa ili hata nyinyi muhisi jinsi sisi tunavyohisi kila siku. Huku ukitaka kuenda Bangkok KQ inaenda huko, London KQ inaenda huko,China KQ inaenda huko. List ni ndefu.Lakini hongera zenu
hongera kwa post yenye busara bro
 
Tega sikio sasa. KQ is a private company. KQ unlike ATCL is not fully owned by the government. Yaani, kuna shareholders (GOK 48%, BANKS 36%, KLM 7%)

Kwa hivyo hatuwezi bainisha na tuseme tumenunua na pesa zetu kama wananchi. Ndege zote ni za KQ na zimenunuliwa na kampuni kupitia shareholders.

Ndege ni za kampuni ya KQ, sio mali ya umma ama serikali. UNAELEWA?

Muwache dharau ndogo za kishenzi. Kama hamuelewi LAMBA LOLOView attachment 820549View attachment 820548

Who owns 8%. Fyi the company ownership is not like what you have above mentioned particularly to KQ. Visit the website for more insight.
 
Back
Top Bottom