Mnahonga mnapopenda au kuna kitu mnataka?

Mnahonga mnapopenda au kuna kitu mnataka?

Mapenzi si pesa ingawa pesa ina nafasi kubwa katika mapenzi.
Hivi mnapokuwa mnahonga pesa, nyumba, simu, magari etc huwa mmependa na unaonesha kuwa unajali au unafanya hivyo ili upewe utamu?

'QUID PRO QUO" nothing goes for nothing (the principle of considerations in the law of contracts)
 
'QUID PRO QUO" nothing goes for nothing (the principle of considerations in the law of contracts)


yeah nadhani pia inategemea muktadha, sio lazima iwe na maana ya kuhonga, inaweza kuwa umempa mtu kitu kwa good will tu, katika mazingira ya kawaida ya kusaidiana

kama likichukuliwa hivyo inapokuja kutakana kimapenzi mtu unakuwa na uhuru kamili wa kuamua au kukataa ila kuhusisha 'vitu'
 
Kwani kuninunulia Escudo nyekundu kama zile za Liyumba ni kunihonga??? Si umenipa kwa kazi niliyokutimizia??? Kuhonga may be sijui maana yake!!! Kupeana kitu kwa mapenzi si kuhonga!! Kwa hivyo hata akinipeleka saloon ya 70,000 amenihonga?? Aaaahhkk hebu acheni hizo bwana!!! Mapenzi kizungu zungu
 
Back
Top Bottom