kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Niwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu. Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!
Nishati safi my foot? Sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao? Nauliza kwasababu mtu aache kununua mkaa au kuni bei chee akanunue gesi wakat gesi haishikiki? Umeme ni ghali makato kibao?
Nyie machawa ebu mshaurini, hizi project zake za nishati safi hazitofanikiwa hata kwa chembe maana hakuna ufanisi wowote, unahamasisha watu watumie umeme kupikia kwa huu umeme wa unit 23 elfu 10? Unahamasisha watu wapikie gesi mtungi mdogo kilo 6 ni 25000 ukapanda kutoka 17k hadi 25k
Mama enu amefeli kama alivyofeli kwenye kila kitu maana hana wasahauri makini.
Hii sera imebuma mapema sana!