blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Alafu unasikia wanasema wametenga bilioni kadhaa za kujenga makumbusho ya marais, wakati wangeweza kutumia pesa hizo kama ruzuku ya kushusha gesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bambiye batu benu , si sijui huwa habasikiage .Una hoja usikilizwe
Ni utawala kobaz mwenzenu mwambieni hiloNiwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu....Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!!
Nishati safi my foot?sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao?nauliza kwasababu mtu aache kununua mkaa au kuni bei chee akanunue gesi wakat gesi haishikiki? Umeme ni ghali makato kibao?
Nyie machawa wa huyo mama enu ebu mshaurini atumie ubongo wake japo kidogo tu, hizi project zake za nishati safi hazitofanikiwa hata kwa chembe maana hakuna ufanisi wowote, unahamasisha watu watumie umeme kupikia kwa huu umeme wa unit 23 elfu 10? Unahamasisha watu wapikie gesi mtungi mdogo kilo 6 ni 25000 ukapanda kutoka 17k hadi 25k
Huyo mama enu amefeli kama alivyofeli kwenye kila kitu maana hana wasahauri maskini
Hii sera imebuma mapema sana!!
Sana aisee!Yule mama ni kichaa
Kwenye maswala kama haya tuko pamoja sana sio kule Iran mkuu sisi sio Wairan wala wayahudi sisi ni watanganyika.Niwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu....Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!!
Nishati safi my foot?sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao?nauliza kwasababu mtu aache kununua mkaa au kuni bei chee akanunue gesi wakat gesi haishikiki? Umeme ni ghali makato kibao?
Nyie machawa wa huyo mama enu ebu mshaurini atumie ubongo wake japo kidogo tu, hizi project zake za nishati safi hazitofanikiwa hata kwa chembe maana hakuna ufanisi wowote, unahamasisha watu watumie umeme kupikia kwa huu umeme wa unit 23 elfu 10? Unahamasisha watu wapikie gesi mtungi mdogo kilo 6 ni 25000 ukapanda kutoka 17k hadi 25k
Huyo mama enu amefeli kama alivyofeli kwenye kila kitu maana hana wasahauri maskini
Hii sera imebuma mapema sana!!
Lucas Mwashambwa njoo huku umtetee zezeta wakoNiwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu....Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!!
Nishati safi my foot?sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao?nauliza kwasababu mtu aache kununua mkaa au kuni bei chee akanunue gesi wakat gesi haishikiki? Umeme ni ghali makato kibao?
Nyie machawa wa huyo mama enu ebu mshaurini atumie ubongo wake japo kidogo tu, hizi project zake za nishati safi hazitofanikiwa hata kwa chembe maana hakuna ufanisi wowote, unahamasisha watu watumie umeme kupikia kwa huu umeme wa unit 23 elfu 10? Unahamasisha watu wapikie gesi mtungi mdogo kilo 6 ni 25000 ukapanda kutoka 17k hadi 25k
Huyo mama enu amefeli kama alivyofeli kwenye kila kitu maana hana wasahauri maskini
Hii sera imebuma mapema sana!!
Ni kawaida Yako kukurupuka na Wala Huwa huelewi unachoandika Bali unaropoka tuu.Niwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu....Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!!
Nishati safi my foot?sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao?nauliza kwasababu mtu aache kununua mkaa au kuni bei chee akanunue gesi wakat gesi haishikiki? Umeme ni ghali makato kibao?
Nyie machawa wa huyo mama enu ebu mshaurini atumie ubongo wake japo kidogo tu, hizi project zake za nishati safi hazitofanikiwa hata kwa chembe maana hakuna ufanisi wowote, unahamasisha watu watumie umeme kupikia kwa huu umeme wa unit 23 elfu 10? Unahamasisha watu wapikie gesi mtungi mdogo kilo 6 ni 25000 ukapanda kutoka 17k hadi 25k
Huyo mama enu amefeli kama alivyofeli kwenye kila kitu maana hana wasahauri maskini
Hii sera imebuma mapema sana!!
Lugha ipi chafu hapo?Mleta mada hana adabu .ametumia lugha chafu na zilizokosa staha na heshima kwa Mamlaka.
Umenyoosha sana.... ungetoa na ushauri nin kifanyikeNiwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu. Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!
Nishati safi my foot? Sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao? Nauliza kwasababu mtu aache kununua mkaa au kuni bei chee akanunue gesi wakat gesi haishikiki? Umeme ni ghali makato kibao?
Nyie machawa ebu mshaurini, hizi project zake za nishati safi hazitofanikiwa hata kwa chembe maana hakuna ufanisi wowote, unahamasisha watu watumie umeme kupikia kwa huu umeme wa unit 23 elfu 10? Unahamasisha watu wapikie gesi mtungi mdogo kilo 6 ni 25000 ukapanda kutoka 17k hadi 25k
Mama enu amefeli kama alivyofeli kwenye kila kitu maana hana wasahauri makini.
Hii sera imebuma mapema sana!
Mama yupi huyo🤣🤣Yule mama ni kichaa
Msukuma aliwauliza kuna magari mangapi ya wakubwa na wahamasishaji wa clean energy yanatumia gas, wakabaki kushangaana wao kwa waoNiwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu. Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!
Nishati safi my foot? Sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao? Nauliza kwasababu mtu aache kununua mkaa au kuni bei chee akanunue gesi wakat gesi haishikiki? Umeme ni ghali makato kibao?
Nyie machawa ebu mshaurini, hizi project zake za nishati safi hazitofanikiwa hata kwa chembe maana hakuna ufanisi wowote, unahamasisha watu watumie umeme kupikia kwa huu umeme wa unit 23 elfu 10? Unahamasisha watu wapikie gesi mtungi mdogo kilo 6 ni 25000 ukapanda kutoka 17k hadi 25k
Mama enu amefeli kama alivyofeli kwenye kila kitu maana hana wasahauri makini.
Hii sera imebuma mapema sana!
Gesi tunayotumia inaagizwa toka nje sisi hatuna gesi ya matumizi yetu kikamilifu hadi hapo wenye gesi watakapo amua vinginevyo na huenda inaenda kwao chini kwa chini cha ajabu unaweza ukaona yanayo fanyika huku kwenye machimbo yao ya gesi ukiwa uingereza kwa kutumia mitambo liyosimikwa huko uingereza.Niwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu. Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!
Nishati safi my foot? Sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao? Nauliza kwasababu mtu aache kununua mkaa au kuni bei chee akanunue gesi wakat gesi haishikiki? Umeme ni ghali makato kibao?
Nyie machawa ebu mshaurini, hizi project zake za nishati safi hazitofanikiwa hata kwa chembe maana hakuna ufanisi wowote, unahamasisha watu watumie umeme kupikia kwa huu umeme wa unit 23 elfu 10? Unahamasisha watu wapikie gesi mtungi mdogo kilo 6 ni 25000 ukapanda kutoka 17k hadi 25k
Mama enu amefeli kama alivyofeli kwenye kila kitu maana hana wasahauri makini.
Hii sera imebuma mapema sana!
Itasaidia nini wakati hao ni chawa na kunguni tuu!