Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Oct 2, 2024 #41 Lucas Mwashambwa said: Mleta mada hana adabu .ametumia lugha chafu na zilizokosa staha na heshima kwa Mamlaka. Click to expand... Mamlaka zenyewe zina adabu? Ungejua maana ya neno "adabu" usinge andika ulicho andika
Lucas Mwashambwa said: Mleta mada hana adabu .ametumia lugha chafu na zilizokosa staha na heshima kwa Mamlaka. Click to expand... Mamlaka zenyewe zina adabu? Ungejua maana ya neno "adabu" usinge andika ulicho andika
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Oct 2, 2024 #42 Manyanza said: Cc Mpaji Mungu Click to expand... kwenye mambo ya nishati Kuna mikataba ya hovyo Sana
Mookiesbad98 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 2,805 Reaction score 3,640 Oct 3, 2024 #43 Nishati safi na bei ya gesi kubaki elfu 58 ni utapeli wa kwenye majukwaa kama alioufanya Naomi campbell juzijuzi kwenye Fashion for relief foundation.
Nishati safi na bei ya gesi kubaki elfu 58 ni utapeli wa kwenye majukwaa kama alioufanya Naomi campbell juzijuzi kwenye Fashion for relief foundation.
kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 9,846 Reaction score 20,319 Oct 12, 2024 Thread starter #44 Mookiesbad98 said: Nishati safi na bei ya gesi kubaki elfu 58 ni utapeli wa kwenye majukwaa kama alioufanya Naomi campbell juzijuzi kwenye Fashion for relief foundation. Click to expand... Kabisa
Mookiesbad98 said: Nishati safi na bei ya gesi kubaki elfu 58 ni utapeli wa kwenye majukwaa kama alioufanya Naomi campbell juzijuzi kwenye Fashion for relief foundation. Click to expand... Kabisa