Tomito Tomato
Senior Member
- Feb 11, 2017
- 167
- 444
Kweli wewe ni mbumbumbu, Mnigeria ana akili kweli kawapiga chenga LA mwili nanyi mmeingia mazimaaa. Kwa taarifa yako hakuna mchezaji karudishwa full stop.This is Simba na katika hili bado Simba SC ndiyo Washindi. Na tunamtaka Mnaijeria wenu safari ijayo asiishie tu Kuita Wachezaji Saba wa Simba SC bali kutokana na uzuri wa Wachezaji wa Simba SC na ukubwa wa Timu ya Simba hasa Kihistoria anatakiwa awe anaita Wachezaji wa Simba SC kama 14 halafu Azam anaweza akaitwa Wachezaji 4 na Yanga SC anaweza akaamua tu akawa anaita Mchezaji 1 au hata asiite kabisa kwani huko hakuna mpira sasa bali kumejaa Njaa tupu tu.
Bahati yako Mnaijeria ungekiona cha moto na ndipo ungeijua Simba SC ni zaidi yako, TFF na Taifa Stars yako.
Na hawatafaa daima mpaka atakapoacha kufundisha stars, watakula jeuri yao, kawakwepa kijanja, Ila huyu mbumbumbu mleta huzi hawezi kung'amua.Mkuu punguza ushabiki maandazi... hajamrudisha hata mtu mmoja... alichosema ni kwamba anaweza waita next time akiona wanafaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hao ni kiwango cha SGRkweli nyie ni mbumbumbu
acha uzwazwa sio huzi ni uziNa hawatafaa daima mpaka atakapoacha kufundisha stars, watakula jeuri yao, kawakwepa kijanja, Ila huyu mbumbumbu mleta huzi hawezi kung'amua.