Mnaijeria wenu ana bahati sana ameomba pooo mapema kwa Simba SC kwani tulichokuwa tumemuandalia angesimulia Kwao!

Mnaijeria wenu ana bahati sana ameomba pooo mapema kwa Simba SC kwani tulichokuwa tumemuandalia angesimulia Kwao!

Nidhamu #1 na mtapata tabu sana maana jamaaa n kama maximo vile
 
Simba mngekua na kiwango cha kutisha mngejaza kabatini makombe makubwa. Chapen kwanza Mazembe kisha timu za misri,nigeria,etc halafu mje muanze jigamba.

Mbona unawasingizia wenzako. Hao Mazembe si ukawaambie yanga wawachape!!!!!
 
Ujinga wetu ndo ulimefikisha hapa soka letu,wenzetu wanasonga mbele sisi tunaendekeza u-simba na u-yanga.

Siku zote akili ndogo huwaza mambo madogo madogo yasiyokuwa na tija
 
Back
Top Bottom