K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,535 Reaction score 2,499 Sep 4, 2018 #21 Wala siyo uzwazwa, maana umeelewa contents and meaning, kwa hiyo zwazwa ni wewe mwenyewe. shahid365 said: acha uzwazwa sio huzi ni uzi Click to expand...
Wala siyo uzwazwa, maana umeelewa contents and meaning, kwa hiyo zwazwa ni wewe mwenyewe. shahid365 said: acha uzwazwa sio huzi ni uzi Click to expand...
shahid365 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 518 Reaction score 420 Sep 5, 2018 #22 kyata said: Wala siyo uzwazwa, maana umeelewa contents and meaning, kwa hiyo zwazwa ni wewe mwenyewe. Click to expand... hili tunaliita intercontinental Povu
kyata said: Wala siyo uzwazwa, maana umeelewa contents and meaning, kwa hiyo zwazwa ni wewe mwenyewe. Click to expand... hili tunaliita intercontinental Povu
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,535 Reaction score 2,499 Sep 5, 2018 #23 shahid365 said: hili tunaliita intercontinental Povu Click to expand... Wewe kweli uzwazwa wako ni wa kiwango kikubwa sana. Nadhani kwa mbumbumbu fc wewe ni nr moja. Na povu lako ni zaidi na LA OMO mkuu.
shahid365 said: hili tunaliita intercontinental Povu Click to expand... Wewe kweli uzwazwa wako ni wa kiwango kikubwa sana. Nadhani kwa mbumbumbu fc wewe ni nr moja. Na povu lako ni zaidi na LA OMO mkuu.
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,535 Reaction score 2,499 Sep 5, 2018 #24 shahid365 said: hili tunaliita intercontinental Povu Click to expand... Wewe kweli uzwazwa wako ni wa kiwango kikubwa sana. Nadhani kwa mbumbumbu fc wewe ni nr moja. Na povu lako ni zaidi na LA OMO mkuu.
shahid365 said: hili tunaliita intercontinental Povu Click to expand... Wewe kweli uzwazwa wako ni wa kiwango kikubwa sana. Nadhani kwa mbumbumbu fc wewe ni nr moja. Na povu lako ni zaidi na LA OMO mkuu.
manonawire JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 943 Reaction score 1,223 Sep 6, 2018 #25 Nidhamu #1 na mtapata tabu sana maana jamaaa n kama maximo vile
The Listener JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 993 Reaction score 216 Sep 7, 2018 #26 Numbisa said: Simba mngekua na kiwango cha kutisha mngejaza kabatini makombe makubwa. Chapen kwanza Mazembe kisha timu za misri,nigeria,etc halafu mje muanze jigamba. Click to expand... Mbona unawasingizia wenzako. Hao Mazembe si ukawaambie yanga wawachape!!!!!
Numbisa said: Simba mngekua na kiwango cha kutisha mngejaza kabatini makombe makubwa. Chapen kwanza Mazembe kisha timu za misri,nigeria,etc halafu mje muanze jigamba. Click to expand... Mbona unawasingizia wenzako. Hao Mazembe si ukawaambie yanga wawachape!!!!!
C charles ndagulla Senior Member Joined Feb 18, 2016 Posts 168 Reaction score 110 Sep 8, 2018 #27 Ujinga wetu ndo ulimefikisha hapa soka letu,wenzetu wanasonga mbele sisi tunaendekeza u-simba na u-yanga. Siku zote akili ndogo huwaza mambo madogo madogo yasiyokuwa na tija
Ujinga wetu ndo ulimefikisha hapa soka letu,wenzetu wanasonga mbele sisi tunaendekeza u-simba na u-yanga. Siku zote akili ndogo huwaza mambo madogo madogo yasiyokuwa na tija