Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Aisee hii kitu nilikuwa naionaga tu enzi hizo nikachukulia poa. Siku ya kwanza niliila nikameza mate nilijisikia kufa, nilibanwa na haja ndogo na kubwa wakati mmoja. Tangu siku hiyo nilikoma. Kwanza ukinusa wahisi kuzunguzungu.
Hadi sasa nikimuona mtu anakula mwili unanisisimka. Hata ukiwa baunsa lazima ukipatepate.
Je, Ushawahi kutana nayo au kuwa na mtu wa karibu alotumia. Tuoe uzoefu wako
Tuelezee ilikuaje kwa faida ya wengine