Hv hzi ziliishiaga wapi hiziView attachment 2284225
Aisee hii kitu nilikuwa naionaga tu enzi hizo nikachukulia poa. Siku ya kwanza niliila nikameza mate nilijisikia kufa, nilibanwa na haja ndogo na kubwa wakati mmoja. Tangu siku hiyo nilikoma. Kwanza ukinusa wahisi kuzunguzungu.
Hadi sasa nikiaona mtu anakula mwili unanisisimka.
Hhahahah daaah acha tu ugoro nao ni nuksi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu ujinga wa kujaribu vitu vigeni unaweza kufa hata mm kuna jamaa yangu alikua anazipenda sana siku moja nikamwambia hebu na mm nipe nijaribu akaniambia nitumie km watu wa ugoro wanavofanya si nikabugi nikanywa mate [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikomaaa nilijua nakufa siku hiyo.
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
aka mbususu au siyoAnko wangu fulani ndio zilikuwa mambo hizi kuweka kuberi kwenye fizi[emoji2]
Nashukuru sijala kuberi,unga,bangi,sigala,ugolo na the like .
Ujana wangu nimekunywa pombe nayo sio kiasi.
Sema nilibase kwenye ile "kitu" ingine
Hizi ndio zake ile kitu,ila watu walikuwa wanapiga lakini unamuona yuko fiti tu,kingine nilikuwa siipendi harufu yake...
Aisee hii kitu nilikuwa naionaga tu enzi hizo nikachukulia poa. Siku ya kwanza niliila nikameza mate nilijisikia kufa, nilibanwa na haja ndogo na kubwa wakati mmoja. Tangu siku hiyo nilikoma. Kwanza ukinusa wahisi kuzunguzungu.
Hadi sasa nikimuona mtu anakula mwili unanisisimka. Hata ukiwa baunsa lazima ukipatepate.
Je, Ushawahi kutana nayo au kuwa na mtu wa karibu alotumia. Tuoe uzoefu wako
Tuelezee ilikuaje kwa faida ya wengine