Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #21
nani kasema mi ni team wasafi?We chinga ni team Wasafi kwa hiyo unaweza kusifia chochote kile kutoka Wasafi tunaomba hapa video ya kipindi tuhakikishe inachokisema
Ingia hapaWe chinga ni team Wasafi kwa hiyo unaweza kusifia chochote kile kutoka Wasafi tunaomba hapa video ya kipindi tuhakikishe inachokisema
Ndio ugonjwa wangu miye!na Romanza
Yaah ni kweli kipindi kipo vizuri sana dada akaze butiIngia hapa
12:30 jioniShow inaanza SAA ngapi tuhakikishe!
Usije ukawa we ndio Sallam SK unakuja kuipa promo hapa
Niache kuangalia dakika 10 za maangamizi na sizi kitaa?Watoto wa Kishua utawajua tu,yani mi niache kumuangalia Zembwela na uswazi yake au mizengwe niangalie wakina MariaRosa sijui wakina Angelo hahahahaha haiwezekani...
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji6][emoji6][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yaani channel za kibongo house girl wangu ndo anaangaliaWatoto wa Kishua utawajua tu,yani mi niache kumuangalia Zembwela na uswazi yake au mizengwe niangalie wakina MariaRosa sijui wakina Angelo hahahahaha haiwezekani...
kwa ww unaemkubal mina ali cjui kama utakua mzima kichwan duhHuyo Mtangazaji Atasubiri Sana Kwa Bidada Mina Ally wa Clouds! Hadi Raha!..
Anaitwa amina ali yeye anajiita miner allyHuyo Mtangazaji Atasubiri Sana Kwa Bidada Mina Ally wa Clouds! Hadi Raha!..
Safari ya makao makuuKipya kipya kipya siku zote hata kama kibaya utaona kizuri subiri muda ufike hiyo show ya Refresh utaiona ni kama "Safari ya Dodoma" sijui kama utanielewa.
Miye Jamali Raja ikifika saa tatu na nusu usiku remote yanguYan mimi Romanza hunibandui. Ikishafika saa 18:20 remote yangu
Ni vitu gani hivyo!!?Yaani na diego sanchez.
Nikimaliza hapo kwa Manuel na Maria Fernanda [emoji23][emoji23][emoji23]
we ni kabila gani? samahani lakini..Madoida ni nini?