Mnaionaje Kambi ya Simba SC huko Afrika Kusini?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Habari zenu wanajamnvi.

Leo watani zangu wamenitumia picha ya kikosi chao kikiwa kinajifua vilivyo huko Johannesburg, South Africa. Wakijinasibu kuwa wako tayari kabisa kuwavaa Yanga ya Kimataifa.

Picha:Simba wakiwa mazoezini Johannesburg, South Africa.

Picha:Yanga ya Kimataifa ikiwa kambini Uturuki miaka kadhaa iliyopita.

Binafsi nawatakia maandalizi mema watani zangu huko South Africa.[emoji23][emoji23]
 
Kweli Simba Fc wa mchangani

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Kweli Simba Fc wa mchangani

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app

Mkuu huoni nyasi asilia hizo? acheni zarau ninyi. Afadhali yetu kuliko yanga yenu waliopo kinesi stadium.
 
Mkuu huoni nyasi asilia hizo? acheni zarau ninyi. Afadhali yetu kuliko yanga yenu waliopo kinesi stadium.
Punguza povu mtani

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Kuweka kambi nje ya nchi ni ufujaji wa pesa kwa nini wasiweke kambi kwenye mikoa mbali mbali ili kuzoea ubovu wa viwanja vyetu? Unazoea viwanja vizuri vya majuu ukirudi unakuja kupiga ligi kwenye viwanja vilivojaa mashimo na vichuguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza povu mtani

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app

Kwa zarau zenu hizi povu litaachaje kutoka? Mtani inamaana hujaziona nyasi hizo? hebu jaribu kuzoom basi.
 
Bora wangeweka kambi kwenye lile pori lao la bunju,mikia ovyo kabisa!
 
Nimetoka mji mwingine kuja kuwaona ndugu zangu wa Tanzania mji huu waliofikia kufanya mazoezi ni sawa na timu iende kule kigoma au mtwara(kwetu) au Lindi kwa ajili ya maandilizi.
Yaani n upuuzi mtupu maana nimepoteza hela zangu kwa ajili ya hii kabumbu
 
Kwa zarau zenu hizi povu litaachaje kutoka? Mtani inamaana hujaziona nyasi hizo? hebu jaribu kuzoom basi.
nimeziona ila duuuh

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Mbona wapo SA kwenye uwanja mbovu kama unavyopendekeza wewe

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Heri wangebaki kwa mtogole tu
Wameharibu hela bure [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huko walikoenda wanafanya mazoezi ktk viwanja vya chandimu ndugu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…