Mnaionaje Kambi ya Simba SC huko Afrika Kusini?

Nafikiri vyura wanatumia macho kufikiri. Hivi huo uwanja haulandani na viwanja vyetu? Kuwatoa nje si kubadilisha viwanja bali ni kuwafanya wajikite zaidi na mazoezi. Pia kupata mechi za majaribio kwenye ligi nyingine. Sasa wewe unahoji uwanja? Una nini zaidi ya nyasi.
 

Kwanza soka la bongo ni lile lile hata wakirudi huko ni yale yale timu hata kupiga pasi 3 haiwezi....kama stars tu.
Hapo naona mdhamini anaongeza tu deni lake
 
Hivi mtwara unaijua vizuri au unaiskia tu? acha stereotyping nakushauri nenda mtwara kajionee mwenyewe mambo yanavyoenda....usilete dharau za kichaga!
 
Hawa viongozi wa soka bongo hamnazo kabisa
 
Ndiyo maana wako jela, hata hao waliopeleka timu huko wachunguzwe vizuri.
 
Hivi kumbe hata Afrika ya Kusini na kwenyewe kuna Viwanja kama vya Kinesi na Makurumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…