Mnaionaje Kambi ya Simba SC huko Afrika Kusini?

Mnaionaje Kambi ya Simba SC huko Afrika Kusini?

Nafikiri vyura wanatumia macho kufikiri. Hivi huo uwanja haulandani na viwanja vyetu? Kuwatoa nje si kubadilisha viwanja bali ni kuwafanya wajikite zaidi na mazoezi. Pia kupata mechi za majaribio kwenye ligi nyingine. Sasa wewe unahoji uwanja? Una nini zaidi ya nyasi.
 
Kuweka kambi nje ya nchi ni ufujaji wa pesa kwa nini wasiweke kambi kwenye mikoa mbali mbali ili kuzoea ubovu wa viwanja vyetu? Unazoea viwanja vizuri vya majuu ukirudi unakuja kupiga ligi kwenye viwanja vilivojaa mashimo na vichuguu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza soka la bongo ni lile lile hata wakirudi huko ni yale yale timu hata kupiga pasi 3 haiwezi....kama stars tu.
Hapo naona mdhamini anaongeza tu deni lake
 
Nimetoka mji mwingine kuja kuwaona ndugu zangu wa Tanzania mji huu waliofikia kufanya mazoezi ni sawa na timu iende kule kigoma au mtwara(kwetu) au Lindi kwa ajili ya maandilizi.
Yaani n upuuzi mtupu maana nimepoteza hela zangu kwa ajili ya hii kabumbu
Hivi mtwara unaijua vizuri au unaiskia tu? acha stereotyping nakushauri nenda mtwara kajionee mwenyewe mambo yanavyoenda....usilete dharau za kichaga!
 
Kuweka kambi nje ya nchi ni ufujaji wa pesa kwa nini wasiweke kambi kwenye mikoa mbali mbali ili kuzoea ubovu wa viwanja vyetu? Unazoea viwanja vizuri vya majuu ukirudi unakuja kupiga ligi kwenye viwanja vilivojaa mashimo na vichuguu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa viongozi wa soka bongo hamnazo kabisa
 
Ndiyo maana wako jela, hata hao waliopeleka timu huko wachunguzwe vizuri.
 
Hivi kumbe hata Afrika ya Kusini na kwenyewe kuna Viwanja kama vya Kinesi na Makurumla?
 
Back
Top Bottom