Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Yaani unakuta PS wa boss ni wa kiume alafu anakuwa na kiherehere, sehemu hausiki teyari kashaleta mdomo yaani kama na yeye ni boss, yaani anavaa vyeo vya boss nae anakuwa boss.
Mfano huyu wa kwetu akiona hana kazi bas anakuja mpaka sehemu ambazo yeye hausiki anakuja anafoka sana mara oh mbna hapo pamekaa vibaya mbna hamjapanga mara kile sio mahali pake.
Kikinunuliwa kitu anakuja kutoa msisitizo ole wenu mharibu na hiki pia yaani na shida anapenda kutukuzwa kazi anakuja kuwasimamia ase ni kichomi af mwanaume